2010 FIFA World Cup South Africa

2010 FIFA World Cup South Africa

Unawasubiria wakichukua kombe uone ahadi zao zitatimizwa au?Mana mtu kama kapelo yeye shaka hana hata England wakitolewa first round tayari amejihakikishia kuwa na Timu mpaka 2012.I wish Jose angekuwa na timu moja ya Africa kuipa tough kwa kipindi hiki cha WC.
 
Mbona Argentina hawapashi jamani, Nasubiri kuona mambo ya Diego maana ameshaanza kujitamba kwamba Kikosi hiki ni Bora kuliko cha 1986 ila nadhani ni Psychological Boost kwa Vijana wake. Jamaa ni Mourinho Style yeye anataka ushindi regardless timu imechezaje

Huyo ndiye EL Pibo d'Oro
 
Ile ipo kwenye excel format ipo bomba zaidi kwa ku update info..ila inagoma kufanya attachment
 
Sidhani kama umechukua jitihada za kuitafuta ukaikosa! Kama unaweza kuweka bandiko hapa, bila shaka upo connected ktk internet, na kama upo connected mimi nadhani habari zilizotawala sasa hivi ni World Cup, so ukiGoogle utaipata kwa urahisi kabisa, naamini hivyo. Mimi sana sana ninaweza kuiweka hapa Excel spreadsheet ambayo kila baada ya mechi unajaza matokeo na kuSave, itakupangia msimamo wa kila group na nani anasonga mbele na atapambana na nani katika hatua inayofuata, hivyo hivyo hadi bingwa. Lakini ratiba mkuu, fanya homework ndogo bana, hata fifa.com ipo!

Sinkala nashukuru nitumie hiyo Ratiba
 
Lete email yako nikuforwadie mana kuiload inagoma kabisa
 
Hata Mbinguni walikuwa na hamu ya kumuona Saint Gaucho akikusanya kijiji...
Hao woote mnaowataja ni sawa na tone la Maji na Gaucho the Saint ni sawa na Bahari...

Dunga you S*ck
 
news alert😀IDIER DROGBA suffered (suspected) FRACTURED ELBOW during game vs japan early today.
it has been confirmed as a BROKEN ARM.
 
news alert😀IDIER DROGBA suffered (suspected) FRACTURED ELBOW during game vs japan early today.
it has been confirmed as a BROKEN ARM.

Duh kiongozi nimeiona hii sky sport, faulo haikuwa mbaya sana lakini alivyodondoka aliangukia mkono nadhani ni katika kujirusha rusha kwao
 
Kasheshe huko Sauzi Rio Ferdinand nae ameumia huko kwenye mazoezi,ndio maana Maradona amegome kucheza friendly match
 
Kasheshe huko Sauzi Rio Ferdinand nae ameumia huko kwenye mazoezi,ndio maana Maradona amegome kucheza friendly match

Ferdinand mbovu sana nae aaaarghhhhhhhh
 
Duh kiongozi nimeiona hii sky sport, faulo haikuwa mbaya sana lakini alivyodondoka aliangukia mkono nadhani ni katika kujirusha rusha kwao

namuombea aweze kucheza,sijui atachezaje....................maanake WC nyingine ni 2014 atakuwa na miaka mingapi vile??34 au 35??
 
Ferdinand out of World Cup

Manchester United defender Rio Ferdinand has been ruled out of the World Cup for England.


The Three Lions skipper suffered a knee-ligament injury at the end of training on Friday lunchtime on England's first full day in South Africa.

He was immediately sent to a local hospital for a scan by manager Fabio Capello but the news has been bad enough to rule Ferdinand out of the entire tournament.

The FA confirmed the news, with Ferdinand expected to be sidelined until the middle of next month.
ACCIDENTAL INJURY
"Further to a scan arranged by the England medical staff immediately after training on Friday afternoon, Rio has been ruled out for four to six weeks and will therefore unfortunately miss the World Cup," said a statement.

"Tottenham Hotspur's Michael Dawson has been contacted and will fly to South Africa on Friday evening.

"Steven Gerrard will lead the England team as captain in the tournament."

Coach Fabio Capello was quick to stress the obvious disappointment at hearing the news.

"It is obviously bad news and everyone with the squad is very disappointed and sorry for Rio," he said. "It was an accidental injury in training, but had nothing to do with the pitch."
 
France wanaenyeshwa na China hadi dikaka ya 86 China 1 France 0
 
ARJEN ROBBEN nae kama kawaida yake kaumia hamstring,anaweza kukosa WC...........................
 
Dah kweli Maradona aliona hilo ngoja J3 unaweza kusika KAKA nae amepata jeraha la goti akosa mechi za WC mwaka huu mikosi tu...France mwaka Huu wachovu kweli...Hivi Algeria mbona wapo kimya hawana Friendly Match!!?
 
Back
Top Bottom