2010 FIFA World Cup South Africa

2010 FIFA World Cup South Africa

Wasindikizaji tu hawa......
Ya,
Unamucha Karim Benzema & Samir Nasri instead unamwita Djibril Cisse (Ndanda Kosovo).tusubiri uone,kwenda tu South ilikuwa mbinde bila Thierry Henry kushika wangekuwa watizamaji tu
 
Ya,
Unamucha Karim Benzema & Samir Nasri instead unamwita Djibril Cisse (Ndanda Kosovo).tusubiri uone,kwenda tu South ilikuwa mbinde bila Thierry Henry kushika wangekuwa watizamaji tu

Cisse mkuu amefunga goli 29 kwenye ligi aliyo sasa hivi, Benzema ameanza mechi 14 kati ya 26 za ligi Madrido! na amefunga goli 8 tu!
 
Binafsi sijapenda Dunga kumwacha Gaucho na Pato. Pamoja na Brazil kuwa na viwango lukuki lakini kwa hawa wachezaji wawili miMI sikubaliani naye kabisa - may be acha chukI binafsi.

wadau mnaonaje uteuzi wa Dunga?
 
Maradona nae kawaacha Cambiasso na Zaneti, hapa na mimi sijamuelewa ana mpango gani.
 
World Cup 2010: The 23-Man Rejects Squad

The best 23 players in the world not to play in the summer's biggest single-sports event...............

The national teams featuring in the World Cup 2010 finals in South Africa this summer have announced their provisional squads. Most sides have named 30 players in their national teams, while Brazil coach Dunga has declared his final squad for the mega event set to start in June

However, there have been some glaring omissions in the big sides. Brazilian legends Ronaldinho and Ronaldo, as well as up and coming star Alexandre Pato, have been not been selected for their national side, while Esteban Cambiasso and Javier Zanetti have been overlooked by Argentina coach Diego Armando Maradona.

France national team coach Raymond Domenech has controversially left out Karim Benzema, Patrick Vieira and Samir Nasri, while Ruud van Nistelrooy will have to stay at home and watch the Dutch national team fight for the most prestigious trophy in world football after being left out of the squad by coach Bert van Marwijk.

experts from around the world have put together a 23-man squad that is comprised solely of the World Cup rejects. Staying with the spirit, we have decided to 'announce' a total of 28 players in our squad.

Please note that the below players are omissions, and not injuries or those who have explicitly rejected call-ups such as Alessandro Nesta.

Goalkeepers (3)

Sebastien Frey (France),Diego Alves (Brazil),and Marco Storari (Italy)

Defenders (6)

Javier Zanetti (Argentina),Philippe Mexes (France),Alex (Brazil),Ezequiel Garay (Argentina),Sol Campbell (England),and Marcelo (Brazil)

Midfielders (8)

Jeremy Menez (France),Samir Nasri (France),Esteban Cambiasso (Argentina),Juan Riquelme (Argentina),Ever Banega (Argentina),and Ronaldinho (Brazil)

Forwards (6)

Karim Benzema (France),Kevin Kuranyi (Germany),Ruud Van Nistelrooy (Netherlands),Francesco Totti (Italy),Antonio Cassano (Italy),Pato (Brazil),Diego (Brazil),and Guti (Spain)

Stand-By (5)

Fabrizio Miccoli (Italy),Pedro Leon (Spain),Patrick Vieira (France),Aly Cissokho (France),and Owen Hargreaves (England)

Na wewe ongeza wakwako unawaona wanafaa but wameachwa na The national teams zao ungependa wawepo World Cup 2010:
 
Cisse mkuu amefunga goli 29 kwenye ligi aliyo sasa hivi, Benzema ameanza mechi 14 kati ya 26 za ligi Madrido! na amefunga goli 8 tu!

Benzema bench la Real Madrid limemmaliza kabisa kiwango na confidence imeshuka pia.
 
Cisse mkuu amefunga goli 29 kwenye ligi aliyo sasa hivi, Benzema ameanza mechi 14 kati ya 26 za ligi Madrido! na amefunga goli 8 tu!
Ok Mkuu:

the French striker signed a 4 year contract with Greek Super League club Panathinaikos

The French player scored his first goal in Greece against Crete-based Ergotelis. Despite being criticized of not producing in the big matches, he was inarguably lethal against weaker opposition and easily finished the season as the top scorer in the Greek Super League. He scored 23 goals in 27 games for Panathinaikos, more than double than any other player in Greece, and also netted 5 goals in Europa League.

Mkuu tuangalie na upande wa pili wa shilingi Ligi na team anayochezea Cisse unaionaje comparison na Karim Benzema,Madrid kunavipaji vingi.lazima dogo asugue bench.Je unaweza kumleta Cisse Madrid?

Note:
It was reported that the Cisse earns 2.5 million euros per year.The total cost of the transfer is about €20 million, taking into account the various bonuses.

While On 1 July 2009, it was announced that Lyon had reached an agreement with Spanish club Real Madrid for the transfer of Benzema. The transfer fee was priced at €35 million with the fee rising to as much as €41 million based on incentives.

Au transfer fees hai determine ubora wa mchezaji.

On 13 May 2010 Benzema said that he wanted to join Manchester United "Real Madrid is not for me I have made a mistake in moving to Real Madrid I know that Manchester United is the right move for me. I want to leave Madrid in the summer to join Manchester United".

Mi nafikiri Benzema ni mzuri labda team anayochezea haifai the same Robinho alivyokuwa City.
 
World Cup 2010: The 23-Man Rejects Squad

The best 23 players in the world not to play in the summer's biggest single-sports event...............

The national teams featuring in the World Cup 2010 finals in South Africa this summer have announced their provisional squads. Most sides have named 30 players in their national teams, while Brazil coach Dunga has declared his final squad for the mega event set to start in June

However, there have been some glaring omissions in the big sides. Brazilian legends Ronaldinho and Ronaldo, as well as up and coming star Alexandre Pato, have been not been selected for their national side, while Esteban Cambiasso and Javier Zanetti have been overlooked by Argentina coach Diego Armando Maradona.

Na wewe ongeza wakwako unawaona wanafaa but wameachwa na The national teams zao ungependa wawepo World Cup 2010:

Hao walioachwa wanaweza kwua wazuri lakini waliochukuliwa ni wazuri 'zaidi' - vigezo vingi vimetumika, ikiwepo current form, match fitness, foramtion ambayo kocha anataka etc etc.

Haiwezekani kila mtu akaenda Sauzi mazee!
 
Hata hawa Cambiasso and Javier Zanetti mzee.

Hebu tusikie Massimo Moratti na yeye ana comments nini:

Inter President Massimo Moratti has expressed his disappointment at seeing Nerazzurri stalwarts Javier Zanetti and Esteban Cambiasso miss out on a place in the Argentina squad for the World Cup finals.

"I refuse to think that Maradona spared them the tournament to do Inter a favour…" Moratti told La Gazzetta dello Sport newspaper.

"In fact, I was as hurt as them, since I know full well how much they care for the national team.

"They deserved to be called up. It truly is a strange decision, considering the monster season they have had."
 
Maradona nae kawaacha Cambiasso na Zaneti, hapa na mimi sijamuelewa ana mpango gani.

naona ni sawa Zanetti na Cambiasso kuwa nje, kwanza uzee na uwezo wao umekuwa mdogo kimpira kuna vijana wanacheza ligi ya nyumbani wanaweza kuziba vizuri nafasi zao nao wamechaguliwa
 
naona ni sawa Zanetti na Cambiasso kuwa nje, kwanza uzee na uwezo wao umekuwa mdogo kimpira kuna vijana wanacheza ligi ya nyumbani wanaweza kuziba vizuri nafasi zao nao wamechaguliwa

Hili ndilo neno!

Tumezoea kuangalia Ligi kubwa kubwa tu - England, Spain, Italy etc ety. Kule Brazil na Argentina kuna wakali kibao ambao hatuwajui.

Wenzetu sio kama timu zetu za kiafrica za kupeleka 'majina' - Kanu, Song et la!
 
Cisse mkuu amefunga goli 29 kwenye ligi aliyo sasa hivi, Benzema ameanza mechi 14 kati ya 26 za ligi Madrido! na amefunga goli 8 tu!

unamkumbuka mario jardel de almeida?akiwa f.c porto alikuwa top goalscorer in europe mara 3 mfululizo lakini alivyoenda bolton hakufanikiwa kuziona nyavu ktk EPL so ufungaji magoli mengi unategemea na ligi uliopo.
 
theo walcott nae ni kama tunda la msimu,ni bora hata shaun wright philips,ondoa theo weka ashley young,heskey weka agbanlhor viungo,bora carrick mana gerrard na lampard wanakuwa hakuna kitu wakicheza timu ya taifa.
 
juzi ktk ligi chelsea vs wigan,ile penati ya kwanza wa2 walishaanza kusema oh ubaguzi,kumbe la! wenzetu wana utaratibu,kila timu kuna mpiga penati wake chaguo la kwanza na faulo,man utd rooney,live stevie,chelsea lampard,sasa walitaka apewe drogba,ikanikumbusha tulivyokuwa wadogo tunagombania kupiga penati na fualo na hiyo imejijenga sana ktk vilabu vyetu vya bara la afrika hakuna utaratibu kuanzia ktk michezo hadi maofisini pia,wenzetu wana utaratibu mzuri sana nausifu,ni bora hao waliochukizwa na lampard kupiga penati watume ktk tovuti ya chelsea na anuani yao kupendekeza mpigaji namba 1 wa penati awe drogba then wasubiri watafikia wapi tamati eg man utd walipendekeza wakati ule ronaldo ndio awe namba 1 free kick badala ya giggs na penati akawa 1st choice,chelsea tumieni anwani hii chini
Chelsea Football Club
Stamford Bridge, Fulham Road, London, SW6 1HS
Tel: 00448719841955
 
[huyo mario jardel nakumbuka alikuwa anafunga bao 45 ktk ligi anaemfuatia alikuwa na 19 msimu mzima!
 
PRELIMINARY SQUAD-SPAIN
Goalkeepers: Iker Casillas (Real Madrid), David De Gea (Atletico Madrid), Diego Lopez (Villarreal), Jose Reina (Liverpool) Victor Valdes (Barcelona).

Defenders: Raul Albiol (Real Madrid), Alvaro Arbeloa (Real Madrid) Joan Capdevila (Villarreal), Carlos Marchena (Valencia), Gerard Pique (Barcelona), Carles Puyol (Barcelona), Sergio Ramos (Real Madrid).

Midfielders: Xabi Alonso (Real Madrid), Sergi Busquets (Barcelona), Cesc Fabregas (Arsenal), Andres Iniesta (Barcelona), Javi Martinez (Athletic Bilbao) Marcos Senna (Villarreal), David Silva (Valencia), Xavi (Barcelona).

Forwards: Santi Cazorla (Villarreal), Jesus Navas (Sevilla), Juan Manuel Mata (Valencia) Pedro Rodriguez (Barcelona), Dani Guiza (Fenerbache) Fernando Llorente (Athletic Bilbao), Alvaro Negredo (Sevilla), Fernando Torres (Liverpool FC) and David Villa (Valencia).

FINAL SQUAD
Goalkeepers: Iker Casillas (Real Madrid), , Jose Reina (Liverpool) Victor Valdes (Barcelona).

Defenders: Raul Albiol (Real Madrid), Alvaro Arbeloa (Real Madrid) Joan Capdevila (Villarreal), Carlos Marchena (Valencia), Gerard Pique (Barcelona), Carles Puyol (Barcelona), Sergio Ramos (Real Madrid).

Midfielders: Xabi Alonso (Real Madrid), Sergi Busquets (Barcelona), Cesc Fabregas (Arsenal), Andres Iniesta (Barcelona), Javi Martinez(Bilbao), David Silva (Valencia), Xavi (Barcelona), Jesus Navas (Sevilla).

Forwards: Juan Manuel Mata (Valencia) Pedro Rodriguez (Barcelona),) Fernando Llorente (Athletic Bilbao), Fernando Torres (Liverpool FC) and David Villa (Valencia)
 
Hawa jamaa watajuta kumuacha Marcos Senna
 
Back
Top Bottom