Elections 2010 2010 Kikwete T-shirts?

Kama uliota mkuu!!!!!!!


Duuuh, hivi ni elimu ya aina gani Watanzania tunahitaji kujua kuwa matatizo mengi yanayoikabiri jamii yetu yanatokana na kuteua viongozi walewale na wa chama kilekile wasiotekeleza ahadi zao?? What a society!
 
Toka lini Wakwere wakasitaarabika? hao ni wacheza ngoma, Ikulu hapawafai kabisa, hasa huyu jamaa, JK, naona alikuwa tayari kufa kama angekosa kwenda Ikulu, ashukuru tu wengi wa watanzania ni MAMPOMPOPO- ingekuwa ni mataifa ya watu waliokwisha staarabika na wenye kujuwa haki zao, kauli alizozitoa pale alipoitisha kijimkutano na vile vizee vya ccm pale diamond jublee za kwamba atakayegoma atakiona, mara wafanyakazi hata wasipompigia kula kwake ni sawa tu, zingemtokea puani maana hiyo miaka mitano aliyokaa IKULU ilikuw ando basi, ila kwa kuwa anaongoza taifa lenye watu dhaifu wasiopenda kuwakeme watawala basi tena, acha tu wachapishe hayo matambala yao ya CCM, angekuwa anajuwa wananchi kwa sasa wanaishi maisha magumu kuliko vipindi vingine vilivyopita angeona aibu angesema miaka hiyo5 aliyokaa pale inatosha,
 
Ateuliwe mara ngapi sasa wakati wanakautaratibu kao ka kumwachia rais aliyeko madarakani kumaliza kipindi kingine cha miaka 5, awe anakubalika ama la, awe ameboronga ama la, awe ni fisadi ama la, sasa kweli kwa utaratibu huu una-expect kuwepo na maendeleo? Angalia Mataifa yaliyoendelea kidemocrasia kama vile Marekani, Uingereza, nk, mtu anapimwa kwa ufanisi wake akiboronga au akijihusisha na skendo ajuwe hana nafasi tena, lakini hapa kwetu ni mpaka uchoke mwenyewe, tafuta swali la kuuliza wewe mwanadamu, kama ulikuwa hujui kama kikwete anagombea tena basi na wewe utakuwa umechelewa sana, hujui wenzako CMM, wana mpaka jina la mgombea wa 2020 na tayari ameshaambiwa amwachie mzee JK. karagabahooooooo
 
watanzania waliondoka na mwalimu nyerere siku umauti ulipomfika, tumebaki watazania
 
Unajua tatizo la Kikwete, yeye anaaamini mtu yeyote yule anaweza kuwa Raisi, cha muhimbu ni mbinu tu tena hta mbinu chafu kama alizotumia yeye mwaka 2005 kuhonga wanahabari na watu mbali mbali, ni mara nyingi amekuwa akisema mtu yeyote anaweza kuwa kiongozi yaani waziri, raisi, mbunge n.k yaani yeye Kingwendu, Bambo, Rage, Ridhwani, Joti woote hao wanafaa sana tu kuwa maraisi wa Tz, kinachotakiwa ni fitna tu ya kufa mtu!!!
Yaani yeye anajiona bonge la kiongozi mkuu 'levo" za kina Mwalimu .....................kama huamini angalia uteuzi wake wa viongozi..umejaa mashudu kibao!! angalia Sophia Simba, Masha, Hawa ghasia n.k
Na sasa hivi anamtenenezea mwanae mazingira ya kuwa raisi wa nchi hii baadae, na msishangae ikawa 2015!!! ausishngae akiamua mtasemaje????? yeye anaamini Ridhwani atakuwa bonge la raisi ....mbona yeye kaweza!!??
 
Arasululu na wewe huna hoja, kalale; unatetea uozo? sheria zimewekwa lazima ziheshimiwe, baba yake si alisaini sheria hii ya gharama za uchaguzi kwa mbwembwe au ulikuwa hujazaliwa? anaweza kutuambia hizo t-shirts amezichapisha kwa gharama ya nani? ni chama au kodi za wtz? msikae mnasifia vitu ambavyo havina mantiki, alipaswa asubili muda wa campeni ufike ndo azigawe kwa hao followers wake, unaleta image gani kwa vyama vingine? au hujui what does the term democracy stands for?
 
never mind hizo fulana..somebody is making me hoooooooooot
 
:sorry: Dr Kikwangalla to be honest si kweli kwamba sisi m ina malengo ya kumkomboa mtanzania. Na hapa ndipo naikataa sisi m kwa nguvu zote. Nawafundisha wanangu na jamaa zangu kuielewa sisi m kuwa haitatupeleka tunakotaka na kuwafundisha kuichukia.
Kama una nia kweli ya kuwatumikia wananchi wa Tanzania na hasa Nzega unakotaka kugombea for God's sake usipitie sisi m maana hutafanya ulilokusudia.
Mark you, huwezi kuzikwa kaburini bila kufa kwanza. Wacha sis im kama unataka kuitumikia nchi hii.
 

CCM ina wenyewe na huenda huyu ni kinda lao. Achana nao maana maneno mengi kama vuvuzela.
 
Tatizo watanzania walio wengi hawajui haki zao jambo linalowafanya kuwa waoga kuhoiji kwa sauti manake hata wanaCCM wenyewqe walitakiwa kurudi kwenye taratibu zao za chama sinadhani kama kunakipengele kinachomruhusu kiongozi kushirikiana na wanafamilia kutekeleza shughuli za chama labda katiba yao iwe imebadilishwa manake nakumbuka nikiwa O level niliisoma sikubahatika kuona hilo
 
we mbogela upo kuzimu kweli!
kama kuna mtu hana ubavu wa kujivunia wazazi wake ni bora ungezaliwa na mende tu!
 
sheria inatumia neno kugawa? jee chama 'kikiwauzia' wananchi labda kanga?! kanga moja shilingi 100, sheria yasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…