Unajua tatizo la Kikwete, yeye anaaamini mtu yeyote yule anaweza kuwa Raisi, cha muhimbu ni mbinu tu tena hta mbinu chafu kama alizotumia yeye mwaka 2005 kuhonga wanahabari na watu mbali mbali, ni mara nyingi amekuwa akisema mtu yeyote anaweza kuwa kiongozi yaani waziri, raisi, mbunge n.k yaani yeye Kingwendu, Bambo, Rage, Ridhwani, Joti woote hao wanafaa sana tu kuwa maraisi wa Tz, kinachotakiwa ni fitna tu ya kufa mtu!!!
Yaani yeye anajiona bonge la kiongozi mkuu 'levo" za kina Mwalimu .....................kama huamini angalia uteuzi wake wa viongozi..umejaa mashudu kibao!! angalia Sophia Simba, Masha, Hawa ghasia n.k
Na sasa hivi anamtenenezea mwanae mazingira ya kuwa raisi wa nchi hii baadae, na msishangae ikawa 2015!!! ausishngae akiamua mtasemaje????? yeye anaamini Ridhwani atakuwa bonge la raisi ....mbona yeye kaweza!!??