Wakuu,
Mimi naona mapambano haya ni magumu, lakini tukiweka nia tutashinda, though risk ni kubwa. Hiki chama hakiwezi chenyewe kula matapishi yake; wana-obligation kubwa ya kurudisha kwa yale majambazi menzao ya nje.
Mini naona if at awareness ikifika from grass roots then tutashinda, and so 2010 is too soon kuwa na mkakati thabiti. Wanajua effect of independent candidate; ndo maana hawawezi kuachia.
Nashauri kubuni njia ya kuhakiksha mwananchi kule chini wa kawaida anaelewa maana ya uchaguzi na value ya kura yake.