2010 Subaru Forester - Habari ya mjini now

Hi
Ninataka kununua subaru forester 2011.. Ushauri hasa katika matatizo yake na suluhu kwa anayefahamu


Sent using Jamii Forums mobile app

Naelewa ni gari nzuri na si pasua kichwa. Zisizo na Turbo zinatumia electric steering na za turbo zina hydraulic. Kuna fundi aliniambia zinazotumia hydraulic ni nzuri zaidi. Kwa hiyo unaweza kuanza kuulizia kama hizo za umeme sio tatizo (ndio ziko kwenye forester nyingi za kuanzia 2009).
Binafsi nadhani ni gari nzuri ukiacha hizo details ambazo kila gari unajuta lina issue zake.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
tafuta latest achana ya iyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…