High Vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,915
- 2,134
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hamkosekani nyie!! Hata kwenye VW Golf mnasema hivi..... Nissan Fuga hivihivi.... Nawashangaa hadi kwenye Subaru Impreza mpo
Mkuu 2010 Subaru Forester XS ni SH (code#) ngapi?Hio Sibaru sio SH9 imekosea kujaza taarifa
Dumelang
Shida ipo 🤣🤣🤣 hasa shida ya kwenda sheli mara kwa mara kama mgonjwa wa kisukari aendavyo kukojoa chooni!Hizi gari naona watu wakitumia mwezi tu wanauza, je zina shida gani?
okayUmechagua ya bei sana. CIF $8000 hizo hela unaokota?! Gari isizidi CIF $4000
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha utani! Mbona wanasemaga inaweza enda 23km/l highway na mjini 17km/l mchawi ni uendeshaji wako tuShida ipo [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hasa shida ya kwenda sheli mara kwa mara kama mgonjwa wa kisukari aendavyo kukojoa chooni!
mkuu zile bus TATA zinauzwa bei ghaniShida ipo 🤣🤣🤣 hasa shida ya kwenda sheli mara kwa mara kama mgonjwa wa kisukari aendavyo kukojoa chooni!
Zile sifahamu mkuu,mkuu zile bus TATA zinauzwa bei ghani
Labda umechangany na IST ndugu. Forester ingekuwa na consumption ya hivyo nadhani zingejaa hapa mjini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha utani! Mbona wanasemaga inaweza enda 23km/l highway na mjini 17km/l mchawi ni uendeshaji wako tu
Kabisa [emoji817]Labda umechangany na IST ndugu. Forester ingekuwa na consumption ya hivyo nadhani zingejaa hapa mjini