Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 461
Jamani mwaka mpya kweli na mambo yake, nikiwa narudi zangu nyumbani after yale mabomu ya kuukaribisha 2011, sasa nikiwa speed bin no speed governor, kwenye High way, nikaona kwa mbali GHARI nikadhani oohhh mtu kaegesha tu au limeharibika kama kasumba yetu WABONGO nikasimama kujua kulikoni? Mhhh makubwa ya 2011, Eti gari liko FULL tank ndo mana limeanguka, nikajiuliza mbona na langu nimetoka PETRO STATION sasa hivi na FULL tank tena EXTRA? Mzee ikabidi nitoe msaada kupakua, nimepakua weee nikapakua weee mhh asubuhi naamka heeee eti nikaambiwa nimepakua kimakosa hadi nikalimwagisha OIL...Jamani niambieni UPAKUAJI WA MAFUTA UTAMWAGA MPAKA OIL? NANI KESHAWAHI KUPAKUA AU KUPAKULIWA MPAKA OIL? HERI YA MWAKA MPYA mandugu...