2011 Full Tank?

2011 Full Tank?

Magulumangu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Posts
3,051
Reaction score
461
Jamani mwaka mpya kweli na mambo yake, nikiwa narudi zangu nyumbani after yale mabomu ya kuukaribisha 2011, sasa nikiwa speed bin no speed governor, kwenye High way, nikaona kwa mbali GHARI nikadhani oohhh mtu kaegesha tu au limeharibika kama kasumba yetu WABONGO nikasimama kujua kulikoni? Mhhh makubwa ya 2011, Eti gari liko FULL tank ndo mana limeanguka, nikajiuliza mbona na langu nimetoka PETRO STATION sasa hivi na FULL tank tena EXTRA? Mzee ikabidi nitoe msaada kupakua, nimepakua weee nikapakua weee mhh asubuhi naamka heeee eti nikaambiwa nimepakua kimakosa hadi nikalimwagisha OIL...Jamani niambieni UPAKUAJI WA MAFUTA UTAMWAGA MPAKA OIL? NANI KESHAWAHI KUPAKUA AU KUPAKULIWA MPAKA OIL? HERI YA MWAKA MPYA mandugu...
 
nahitaji kujifunza kiswahili upya............any mwalimu plz
 
nahitaji kujifunza kiswahili upya............any mwalimu plz

Pretaaaaaaaaaaaaaaaaaaa..............AVATAR yako imeamsha 2010.....jamani sijui nini kipo btn the legs....mashalllah, 2011 siumalizi kama ni hivyo halafu nimemini ni wewe maana miguu kama ile ya last avatar...Njoo kwangu Kiswahili nikufundishe lkn uje kama ulivyo kwa avatar ndo nitakumbuka zaidi.
 
post namba wani imeniacha patupu, :A S 13::A S 13::A S 13:hivi ni kiswahili kweli?:wacko:
 
next time uwe mwangalifu magulumamngu manake si kila ukisikia full tank basi huwa kweli ni full tank. wengine huweka mafuta ya 10,000 kwenye magari yao kisha wanadai wako full tank na wamekwama na hivyo wanahitaji msaada wa kupakua mafuta ili waanze mwendo. sasa hapo ukirogwa ukatoa tu msaada (kama ulivyofanya) unageuziwa kibao kuwa umemwaga oil ili ulipe! hapo ni utapeli tu so be careful next time.

after all full tank is nature na gari la kweli likiwa full tank huwa halina matatozo yoyote. ukikuta gari ina matatizo kwa ajili ya full tank, ujue its kidding and isnt natural
 
Ukija uwe umevaa kabisa kwenye hiyo avatar yako inaonekana kama inapepea plz mwalimu nisije ingia majaribuni
asante mpenzi....naomba tuanze na ngeli za majina
 
Hapa lilikuwa linaongelewa gari kweli?
next time uwe mwangalifu magulumamngu manake si kila ukisikia full tank basi huwa kweli ni full tank. Wengine huweka mafuta ya 10,000 kwenye magari yao kisha wanadai wako full tank na wamekwama na hivyo wanahitaji msaada wa kupakua mafuta ili waanze mwendo. Sasa hapo ukirogwa ukatoa tu msaada (kama ulivyofanya) unageuziwa kibao kuwa umemwaga oil ili ulipe! Hapo ni utapeli tu so be careful next time.

After all full tank is nature na gari la kweli likiwa full tank huwa halina matatozo yoyote. Ukikuta gari ina matatizo kwa ajili ya full tank, ujue is forgery and isnt natural
 
next time uwe mwangalifu magulumamngu manake si kila ukisikia full tank basi huwa kweli ni full tank. wengine huweka mafuta ya 10,000 kwenye magari yao kisha wanadai wako full tank na wamekwama na hivyo wanahitaji msaada wa kupakua mafuta ili waanze mwendo. sasa hapo ukirogwa ukatoa tu msaada (kama ulivyofanya) unageuziwa kibao kuwa umemwaga oil ili ulipe! hapo ni utapeli tu so be careful next time.

after all full tank is nature na gari la kweli likiwa full tank huwa halina matatozo yoyote. ukikuta gari ina matatizo kwa ajili ya full tank, ujue its kidding and isnt natural

Judith nimekuwa addicted na posts zako dear, kweli wasema jamani na gari lenyewe kwa nje nilidhani ni jipya kumbe la KICHINA jamani,
 
PRETA Kwenye Ngeli NOMINO naweza ila si hapa jamaa alivyochanganya madawa
 
Judith nimekuwa addicted na posts zako dear, kweli wasema jamani na gari lenyewe kwa nje nilidhani ni jipya kumbe la KICHINA jamani,

pole anko, ndio maana nikajua tu kuwa hilo gari linalokwama kwa sababu ya full tank lazima litakuwa forged, natural halikwami bwana kwa full tank! haha
 
pole anko, ndio maana nikajua tu kuwa hilo gari linalokwama kwa sababu ya full tank lazima litakuwa forged, natural halikwami bwana kwa full tank! haha

Hiyo pole tuu Judith imenifanya niingie 2011 kwa furaha, dah nadhani ukisema live POLE mhhhhhhhhhhhhh....sina neno...
 
Kwa vijimaneno sikuwezi aisee haha hahha heri ya mwaka mpya unaikumbusha darasa la 3 mambo ya kutunga sentensi:teeth:
 
Mkuu imebidi nicheke sasa mama ake katoka wapi tena hapa mzee? hasira za 2011 mkuu punguza munkali, duhhhhh ndo kwanza siku moja kati ya 365 mzee....
 
Back
Top Bottom