2012 African Cup of Nations.

2012 African Cup of Nations.

Equitorial Guinea 0-0 SENEGAL dakika ya 60 ngma nzito sana, hawa jamaa niliwapa karata yangu Senegal wakikaa vibaya wanaweza toka aisee

no doubt that they are out kaka.
You've lost your money.
 
Itakuwa Zambia na EQG kusonga mbele, what a suppries for Senegalise
 
Equitorial Guinea 0-0 SENEGAL dakika ya 60 ngma nzito sana, hawa jamaa niliwapa karata yangu Senegal wakikaa vibaya wanaweza toka aisee
Nilisema hizi timu zenye masuperstar wala hazifiki mbali, haya wa kwanza Senegal huyo bye bye. Na wengine wanafuata, wachezaji wa kulipwa huwa hawana uzalendo.
 
Nilisema hizi timu zenye masuperstar wala hazifiki mbali, haya wa kwanza Senegal huyo bye bye. Na wengine wanafuata, wachezaji wa kulipwa huwa hawana uzalendo.
Nilimmiss sana Ba Newcastlee...bora arudi kuinogesha league!!
 
Nilisema toka awali kwamba Senegal si lolote. Yaani watu kumwona Demba Ba wakajua ndio timu itakua nzuri. Soka halipo hivyo;kwani ingekua hivyo,basi Argentina ingekua inatawala soka kwa upande wa timu za taifa.

Haya mashindano hayatabiriki,ni surprises kwenda mbele!
 
Welcome.
Its final match of Group A, Equatorial Guinea, who are already qualified, taking on Zambia, here in Libreville.
 
Ali Lemghaifary from Mauritania is the referee for today's match.
 
Unlike yesterday, no heavy rain today.
Pretty enough sunshine here in Malabo, weather is cool indeed.
 
Angola's attack, great pass from Flavio,
Manucho strive the ball, double dribble it,
and he score!
Sudan 0 - 1 Angola
 
Muawia fouls agains Aerosa, frekick Angola's way.
 
Angola enjoys massive possesion here, beautiful display...
 
Back
Top Bottom