Kiungo mshambulaji wa Zambia, Clifford Mulenga amefukuzwa kambini.
Mchazaji huyo anadaiwa kuvunja taratibu za kikambi, pamoja na wachezaji wangine watatu, wakati watatu hao wakiomba msamaha kwa kosa walilofanya, Mulenga aligoma kuomba radhi, hali iliyopelekea kocha, Herve Renhard kufikia maamuzi hayo magumu.
Ofisa habari wa Chama cha soka cha Zambia (ZAF), Erick Mwanza alithibitisha madai hayo na kuongeza kuwa,
kocha wa timu ametoa maelezo ya kutosha kwanini amefanya maamuzi hayo, na ni kwa faida ya timu na taifa kwa ujumla.
Zaidi: Zambia expel Mulenga from camp - SuperSport - Football
bonge la game arifu...hii anaefungwa anweza kupoteza nafasi ya kwenda robo final.....
ghana hawana captain wao joni mensah...mkulu Pantsil atasimama kati pale kama kitasa......dogo tonny Annan kama kawa atamiliki dimba la chini....