2012 African Cup of Nations.

2012 African Cup of Nations.

Huyu Neymar wa Gabon naona anayatupia tu magoli
Gabon 1 Tunisia 0
 
Kiungo mshambulaji wa Zambia, Clifford Mulenga amefukuzwa kambini.
Mchazaji huyo anadaiwa kuvunja taratibu za kikambi, pamoja na wachezaji wangine watatu, wakati watatu hao wakiomba msamaha kwa kosa walilofanya, Mulenga aligoma kuomba radhi, hali iliyopelekea kocha, Herve Renhard kufikia maamuzi hayo magumu.
Ofisa habari wa Chama cha soka cha Zambia (ZAF), Erick Mwanza alithibitisha madai hayo na kuongeza kuwa,
kocha wa timu ametoa maelezo ya kutosha kwanini amefanya maamuzi hayo, na ni kwa faida ya timu na taifa kwa ujumla.
Zaidi: Zambia expel Mulenga from camp - SuperSport - Football
 
Welcome!
Its final matches of group stage in this year's AFCON.
Ghana taking on Guinea here in Franceville, and Botswana against Mali in Libreville.
 
bonge la game arifu...hii anaefungwa anweza kupoteza nafasi ya kwenda robo final.....
ghana hawana captain wao joni mensah...mkulu Pantsil atasimama kati pale kama kitasa......dogo tonny Annan kama kawa atamiliki dimba la chini....
 
Sammy kuffour kaogopa ku bashiri nani mshindi....anaogopa....
 
wakulu game ndio inakaribia kuanza...namuona mkulu PANTSIL ndio anabeba timu leo....captain....aisee..waafrika bana..jama wanaimba imba
 
guinea anafungwa vizuri tu maana anapoint tatu tu za botswana..
 
huwa simkubali asamoah gyan tangu ile wc 2010 alipokosa penati....huyu dogo ande kaiva balaa
 
Back
Top Bottom