Tusubiri za kesho Ghana atamenyana na Tunisia, Gabon na Mali.Furaha yangu haikukamilika.Zambia yes.
EQG timu nzuri sana lakini quality ya mamilionea ni hatari. Ile free kick ya Yahya na lile goli la kichwa la DD hata Casillas angefungika tu!
Kweli jamaa ni wakali. Nimeangalia timu zilizobakia sidhani kuna timu ya kuwazuia kutwaa ubingwa loh!
Nigeria mwaka 1980Mara ya mwisho Taifa Stars yetu ilicheza mwaka gani mashindano haya?
Nigeria mwaka 1980
Majembe yangu Gabon yatupwa nje ya michuano kwa penati 3 dhidi ya 4 za Mali