2012 African Cup of Nations.

2012 African Cup of Nations.

EQG timu nzuri sana lakini quality ya mamilionea ni hatari. Ile free kick ya Yahya na lile goli la kichwa la DD hata Casillas angefungika tu!
 
EQG timu nzuri sana lakini quality ya mamilionea ni hatari. Ile free kick ya Yahya na lile goli la kichwa la DD hata Casillas angefungika tu!

Kweli jamaa ni wakali. Nimeangalia timu zilizobakia sidhani kuna timu ya kuwazuia kutwaa ubingwa loh!
 
Dakika 30 za nyongeza baada ya 90 kumalizika kwa suruhu ya 1:1
 
Endelea kutujuza. Umeme umekatika. Tanesco kama kawaida yao wanachojua ni kuongeza bei tu! Huduma sifuri
 
Mali oyeee wapata penati 5 gabon 4. Mali wanasonga hatua ya nusu fainali kukutana na ivory coast.
 
Majembe yangu Gabon yatupwa nje ya michuano kwa penati 3 dhidi ya 4 za Mali
 
Back
Top Bottom