Yes Rejao ilikuwa ni dk ya 78Emmanuel Mayuka the goal scorer!
Safi sana Zambia..
4 minutes added!
Naona Ghana kwa sasa wanashambulia sana. Zambia wote wamerudi nyuma kuzuiaYes Rejao ilikuwa ni dk ya 78
The Zambia substitute peels off John Boye before sending a shot curling beyond Mweene from 22 yards out.
Africa south of sahara zambia wanatuwakilisha
Naona Ghana kwa sasa wanashambulia sana. Zambia wote wamerudi nyuma kuzuia
Last minute!Mmmh!! Ziishe haraka hizi wasije wakaharibu..