2012 African Cup of Nations.

2012 African Cup of Nations.

Ndugu wasomoji habari nyingine za AFCON unaweza kuzoma kwenye hii tovuti ya .football365.co.za/

na kwa utangazaji wa lugha ya imbomb fuatilia hapa livescore zimebaki dk 10 mpira kwisha je zambi awatweza kulinda bao
 
Mtangazaji anasema eleven minutes to go, Ghana are facing elimination! What a goal!
 
Red Card! Boateng wa Ghana anatolewa nje. What a blow for Ghana!
 
Derric boateng anatoleqwa nje alikuwa tayari na kadi ya njano . nadhani kadi imetolewa kimakosa . Ghana wanawachezaji 10 sasa. dk ya 84

One goal behind ,one goal deficit and 5 min left for ghana
 
Andrew Ayew anatoka anaingia S.Muntari.
Naona Ghana awataki kufunga goli.
 
Huyu beki number tatu wa zambia anafanya uzembe kidogo ghana wasawazishe
 
Yes Rejao ilikuwa ni dk ya 78
The Zambia substitute peels off John Boye before sending a shot curling beyond Mweene from 22 yards out.
Naona Ghana kwa sasa wanashambulia sana. Zambia wote wamerudi nyuma kuzuia
 
Back
Top Bottom