2012 African Cup of Nations.

Tofaut na mechi ya mwanzo mpira huu umeanza kwa kasi na nguvu tayari kadi ya njano kwa mali Dk ya 6. Its Mali Vs Ivory coast who are the favourite
 
Dk ya 11
Mali wanafanya shambuliz linazoaa kona baada ya "shuti "kuwa blocked
 
dk ya 19
So far mali wana bahati wako level ya bila bila. They need t do something
 
dk 20
Ni kama MAli wamesoma comment yangu wamefanya shambulizi kali sana na wakati hu huo Cote di vua nao wakajibu shambuliz kwa kalou lakini ni bila bila
 
dk ya 28 0-0
ila Mali naona wanazidi kuongeza share ya possesion iliyokuwa chini sana
 
Dk ya 32
Drogba anakosa bao pale na anegwkenda chini lazima refa angetoa penati. Kumbe akicheza afrika anaacha maigizo.
 
habari kutoka UK ni kwa capelo kabwaga manyanga kuwa kocha wa timu ta taifa ya england. hii ni sakata linalohusu u nahodha wa John terry. Soma habari kwa urefu wake hapa football365

dk ya 40 bado ni 0-0
 
dk ya 43
inaonekana tutawenda mapunziko huku hakuna aliyeoota mpiar kwenye nyavu
 
dk ya 44
GOAAAAAAAAAAAl genvinhoooo
Mali 0 ivory coast 1

Gervinho collects the ball from Yaya Toure inside his own half and dribbles right the way into the area and curls right-footed into the far corner!

45
That's half-time! Gervinho gives Ivory Coast a 1-0 half-time lead. MAli has to do it the hard way..........
 
Nilianzisha thread hapa kuwajuza kuwa Zambia na Gabon zitafika finali kama hazitakutana kwenye robo au Nusu fainali, na nikatoa sababu zangu, JFModerator wakafutilia mbali thread hiyo. bahati mbaya Gaboni akatolewa kwenye robo. Hata hivyo nimefarijika kwa kuona kuwa The CHIPOLOPOLOwamefika fainali. Hureeee!!! jirani Zambia
 
Mechi inaendeleea naona watangazaji wenzagu ia rejao na MAc Till wameuganan na madakrati kugoma kutagaza . Wengine kazi ni hoby hatuwezi kugoma . lol

Ni dk ya 50 wasomaji

bado bao ni 1 ja la ivory coast na mali Sifuri (0)
 
dk 53
Yahya toure anawakimbiza sana Mali na pale kati kati Ivory coast wametawala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…