Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakupata ndugu mtazamaji, Tupe habar
YAp kamanda niko kweye kozi ya kuwa mtangazajii wa habari maandishi. kama umefurahi utangazaji wangu....... lol
Hakika wewe ni mkali ndugu mtazamaji, nakufuatilia kwa umakini mkubwa sana baada ya Startimes kutuduwaza na ving'amuzi vyao. Wamegoma kurusha KBC mpaka tununue bundle ya 19000
Kwlei ila kwa zambia ni matumaini sana watatoa challnge kuliko ya hawa MaliCote D'Ivore ni mabingwa japokuwa zambia ni jirani zetu ila ndio hivyo..
Tunashukuru watangazaji wetu.mtupe na maana ya Chipolopolo.