2012 African Cup of Nations.

2012 African Cup of Nations.

dk ya 55
Naona wamekosa mbinu za kupenya ngome ya ivory coat wanacjofanya ni kujaribu mashuti ya mbali. Mamaduu Keita anpiga shuti pembeni
 
Mnaweza kuniita "mchawi" lakini nina smell na kuna goli lingine moja kabla ya dk 90. Sasa sijui litafungwa na timu gani sijui mnasemaje mlio uwanjani

Ni dk ya 60
 
Kwa wale wapenzi wa soka la UK habari kamili za kujiuzulu kwa Capelo zisomeni hapa

Hapa ni dk ya 63 na bao bado mi moja bila in favor of Ivory coast

Kwa habari nyingine za michun ya afrika mtandaoni zadi ya JF tembelea hapa football365.co.za/


Dk ya 65
kalou anakosa bao la wazi kabisa na inakuwa ni kona inayookolewa baada ya rapsha rapsha ndogo
 
Njia peke ya Mali kupta goli la kusawazisha inaoenekana ni wa njia ya style tunayoita mpira wa minazi ( Juu) na butua butua kabla ivory coast hawajajipanga

Othewirse u just feel kama ni goli basi ivory cost wataongeza. NI dk ya 70
 
One of the best move and attack from mali imekuja katik dk ya 73. ilikuwa move nzuri . Lakini shuti linaambaa juuu ya mwamba. Much better though

Tuko dk ya 75 sasa kaingia dembele upande wa mali aliyetoka sijasoma number yake lol
 
Dk ya 77 drogba anaoyesha vuwezo wake kama enzi i zile akiwa bao moto. Tutegmee mashambulizi ya kupokezana na ivory coat wanafanya mabadiliko
 
I would like it to be the other way lakini mali ndio wanakoswa koswa sana. ni dk ya 81
 
Mali wakifia kwenye postion nzuri wana paniki. Wanapiga mashuti yasio kuwa na kichwa wala mkia bora wenyeji wangeedelea
 
dk ya 84
Mali are committing more men forward now. Can they find an equaliser? The clock is ticking.
 
Dk ya 87
Mali wanapata free kick ya set piece lakini ni poor delivery
 
YAp kamanda niko kweye kozi ya kuwa mtangazajii wa habari maandishi. kama umefurahi utangazaji wangu....... lol

Hakika wewe ni mkali ndugu mtazamaji, nakufuatilia kwa umakini mkubwa sana baada ya Startimes kutuduwaza na ving'amuzi vyao. Wamegoma kurusha KBC mpaka tununue bundle ya 19000
 
Hakika wewe ni mkali ndugu mtazamaji, nakufuatilia kwa umakini mkubwa sana baada ya Startimes kutuduwaza na ving'amuzi vyao. Wamegoma kurusha KBC mpaka tununue bundle ya 19000

fuatilia comment zangu vuziri kwenye uzi huu kuna njia mbadala japo kwenye screen ndogo kama una net nzuri. Hao startime tungewafundisha kuchakachua ila tukijua wengi watashhtuka lol................


Hapa uwanjani tupo dk za nyongeza dk za kawaida 90 zimekiwsha .

4 min added
Cote D'Ivore ni mabingwa japokuwa zambia ni jirani zetu ila ndio hivyo..
Kwlei ila kwa zambia ni matumaini sana watatoa challnge kuliko ya hawa Mali
 
Back
Top Bottom