Rev. Amini utabarikiwa. Wamepania watashindwa. Nitarudi hapa baada ya mchezo kwisha kukukumbusha kuwa majina hayachezi soka.Nilijua mtabiri maarufu aliisha Kufa! Kumbe mikomba yake ilipata wakuibeba!!! Soka ni mchezo wa ajabu!! Drogba atawatesa Zambia
Nilijua mtabiri maarufu aliisha Kufa! Kumbe mikomba yake ilipata wakuibeba!!! Soka ni mchezo wa ajabu!! Drogba atawatesa Zambia
Wana Africa Mashariki na Kati leo Zambia watatawazwa kuwa mabingwa wapya wa soka africa. Anzeni kuandaa fataki na kambuzi. Hongera Zambia, hongera michael satta
Mkuu, suppose Zambia watashinda leo then unawasha hayo mafataki yako na kanyama ka mbuzi pembeni kisha mwanao mdogo anakuuliza, ''baba, hivi timu yetu Taifa imeshinda?'' Utajibuje mkuu?
Euro cup 2012,mambo yatakuwa mambo.Kweli Kombe La Africa watu hawana shamrashamra nalo, ingekuwa European Cup ungeona Comment zinajaa mpaka ma Facebook mpaka mademu wasiopenda mpira wanadakia au iwe Kombe la dunia utasikia mie Spain mie sijui brazil kibao, sasa tushangilie iliyokaribu kidogo na Home Zambia kesho.
...SisiMkuu,
suppose
Zambia watashinda leo then unawasha hayo mafataki yako na
kanyama ka mbuzi pembeni kisha mwanao mdogo anakuuliza, ''baba, hivi
timu yetu Taifa imeshinda?'' Utajibuje mkuu?
Nilijua mtabiri maarufu aliisha Kufa! Kumbe mikomba yake ilipata wakuibeba!!! Soka ni mchezo wa ajabu!! Drogba atawatesa Zambia