Rev. Amini utabarikiwa. Wamepania watashindwa. Nitarudi hapa baada ya mchezo kwisha kukukumbusha kuwa majina hayachezi soka.
Ivory coast hajafungwa goli hata moja hadi hivi sasa.
Haya hatimaye majirani zetu zambia leo ndio wako kwenye fainali.
Vs
Kama kawa mtazamaji akishirikiana na "watangazaji-maaandishi" watakuleata mpambano moja kwa moja...
mtangazaji Mtazamaji!tutakuwa wote kuwaletea wenzetu matangazo live!juzi niliingia mitini shemeji yenu aliniita chumbani!teh!teh!teh