Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,368
Rev. Amini utabarikiwa. Wamepania watashindwa. Nitarudi hapa baada ya mchezo kwisha kukukumbusha kuwa majina hayachezi soka.
Mwambie huyo anakuwa na mautabiri ya kizamani ingekuwa majina yanacheza ghana wasingetolewa kwani wao ndo wana majina makubwa than Zambia