Kwa wale wanaofuatilia soka ya UK habari zinasema mchezajii wa machster city aliyeko argentina baada ya kukwaruzana na kocha wake kwa sasa amedhamiria kurudi City kuwasaidia kuchukua Kombe. lol ....... Inashangaza
Source ni maelezo ya Supersport kati ya mechi ya city na Villa
Haya zimebaki dk kama 20 hivi. wakatti watanzania tujiulize zambia wana nini amabcho sisi tumekosa japo hata kushindwa kushiriki michuano hii.
Sasa sijui kwenye London 2012 tutarajie medali ngapi . Any way labda muda bado
naona katongo anatishia amani first kona..