2012 African Cup of Nations.

2012 African Cup of Nations.

Stats zinaonyesha Ivory coast wanaingia kwenye fainali ya michuano hii wakiwa hawaokota mpira kwenye nyavu. Kibaru cha zambia kitakuwa kizito....
 
Kwa wale wanaofuatilia soka ya UK habari zinasema mchezajii wa machster city aliyeko argentina baada ya kukwaruzana na kocha wake kwa sasa amedhamiria kurudi City kuwasaidia kuchukua Kombe. lol ....... Inashangaza

Source ni maelezo ya Supersport kati ya mechi ya city na Villa
 
Haya zimebaki dk kama 20 hivi. wakatti watanzania tujiulize zambia wana nini amabcho sisi tumekosa japo hata kushindwa kushiriki michuano hii.

Sasa sijui kwenye London 2012 tutarajie medali ngapi . Any way labda muda bado
 
hii ni good news kwa sisi city fans na bad news kwa wapinzani wetu..
 
Haya zimebaki dk kama 20 hivi. wakatti watanzania tujiulize zambia wana nini amabcho sisi tumekosa japo hata kushindwa kushiriki michuano hii.

Sasa sijui kwenye London 2012 tutarajie medali ngapi . Any way labda muda bado

kwani kuna ushindani wa umbea na uvivu..
 
...let the best team win, japo naombea underdogs Zambia washinde...
 
if it were my wish i would call the ghosts of 18 zambian players to come on pitch to help zambian players!do you remember Moses Chikwalakwala?
 
Hahahaah Mzee unaamini Majini? lol tehtehteh Zambia wata win tu 2-0 Katongo anapandishwa tu cheo jeshini leo wakibeba Kombe sijui mkuu wa jeshi kazi yake ipo hatarini anaweza kupewa katongo.
 
Mpira unaanza zambia vs ivory coast,mimi niko zambia. Bwanji babosii!
 
Back
Top Bottom