Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Tatizo Refa anawabeba sana CIVwasipochukua leo zambia hawachukui tena..
Hivi Gervinho si angeweza kufunga mwenyewe pale.......yaya toure duu..
Kiungo cha Zamia kimetulia sana....
Sinkala na Chansa wanaelewana sana
Hawa Zambia wanaleta raha kwa kweli.......What a game