2012 African Cup of Nations.

2012 African Cup of Nations.

huyu kocha wa cote anashikilia rekodi ya kutokucheka!inasemekana mara ya mwisho kucheka alicheka mwaka 1972 siku ya harusi yake!lol!
 
Katika Dk ya 29
ivory coast wanakosa bao baada ya kufanya sambulizi la kushtukiza. Yahyah toure kapiga shuti pembeni
 
Zambia waongeze umakini kwenye kukaba hasa maeneo ya 18 vinginevyo itawacost.
 
Kiungo cha Zambia kimetulia sana....

Sinkala na Chansa wanaelewana sana
 
Kiungo cha Zamia kimetulia sana....

Sinkala na Chansa wanaelewana sana

N ngvu za ivry cast ziko kwenye kiungo zaidi. So far zambia wamewadhibiti. Wakiweza kumzuia yahya toure na drogba kuchez watakavyo basi. Lusaka itashangilia ushindi
 
Inaonekana mchezo wa zambia inawafurahisha hata watazamaji. Sometime unaacha ushabkii wa timu unakuwa shabiki wa mchezo lol mchezo. .......
 
Kipa wa Zambia ni mzuri sana....

Chris Katongo anawatesa sana mabeki wa CIV
 
Kusema ukweli nimewependa sana Zambia....Wanapiga mpira mzuri sana bila kujali ukubwa wa majina!!
 
Back
Top Bottom