2012 African Cup of Nations.

duu hadi anawafanya cote hawapandi leo kazi wanayo watasema tu..
 
Nasikia wanasema kuna mvua lakini sio wachezaji wamelowa au uwajna umefunikwa ? Au wazungu hata manyunyu wanita mvua lol
 
natoa unabii,pamoja na yote hayo ivory coast watashnda!zambia watakosa goli
 
Kadi nyingine ya njano kwa ivory coasy This time for bemba. Na zambia wanapiga free kick mbovu katika eneo la hatari. Chance lost. Ni dk ya 66
 
Kwa kweli droo haitapendenza,naona kwa matuta Zambia wanaweza wakashinda.COTE jamani natamani wafunge sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…