2012 African Cup of Nations.

2012 African Cup of Nations.

Naona drogba anataka kulaumu viwnja vya afrika. Anaonekana kutoridhiswa na kiwango cha sehemu ya kuweka mpira wa penati. Toooooo late. It not the first penalty u miss drogba............ get over it .......... move on

Tunaelekea dk ya 75 zambia wanafanya mabadiliko aliyemreplace Musonda naye anakuwa replaced.
 
Asante Mungu.........Drogba kapiga Penati kama ya Jaap Stam...............Lol


Huyu Refa ni mpumbavu sana.........Anawabeba CIV bila hata kuona aibu.......
Ukiona hivyo ujue Zambia imeandikiwa kushinda. Hata waaivorikosti wabebwebweje awawezi shinda!
 
Zambia wanafanya mabadiliko,anaingia Felix Katongo badala ya Nyambe Mulenga
 
CIV wanafanya mabadiliko,anatoka Didier Zokora,anaingia Didier Ya Konan
 
Kwenye matuta cote sio wazuri,nafasi hiyo wangeipata Zambia hapa Libreville yangekuwa mengine
 
inakuaje mtu anaitwa mwanajeshi na hata kupandishwa vyeo ilihali hatumikii jeshi.!?!?!?
 
Back
Top Bottom