Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Refa ataiharibu hii match babu.......
Ukiona hivyo ujue Zambia imeandikiwa kushinda. Hata waaivorikosti wabebwebweje awawezi shinda!Asante Mungu.........Drogba kapiga Penati kama ya Jaap Stam...............Lol
Huyu Refa ni mpumbavu sana.........Anawabeba CIV bila hata kuona aibu.......
Naona drogba anataka kulaumu viwnja vya afrika. Anaonekana kutoridhiswa na iwango cha sehemu ya kuwa mpira wa penati. Too late