2012 African Cup of Nations.

rais wa equatorial guinea yupo hapa pia anacheki game!na jakaya pia nadhani anaangalia...lakini yeye ni kwenye tv!
 
CIV leo cha moto wamekiona maana wanafundishwa soka kwa kweli....
 
Ivory coast wamekosa penalt through drogba. Zambia ni wayuri.naadi kufa nao ata wakishindwa.tz ni wazee wa kuibiwa. Dk ya 80 ngoma drawa
 
Zambia reminds me ile timu ya akina Moses chikwalakwala
 
Zambia wanahitaji kutulia kidogo tu wanapofika langoni mwa CIV
 
Niliona mtu kama Mugabe jukwaa kuu. Ni yeye au waafrika tu wanafanana?
 
duh natamani ningeiona hii match inaonekana ni tamu sana.
 
CIV wanakosa goli la wazi kabisa........Max Gradel anakosa goli la wazi

What a miss!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…