2012 African Cup of Nations.

Zambia wanashambuliwa.......Safi sana Stophira Sunzu.....Kona

Kennedy Mweene anadaka kiulainiiiiiii
 
Zambia wamuangalie sana huyu Max Gradel

CIV wanashambulia sasa.....Offside Gervinho
 
CIV wanahsambulia sasa....

Zambia wawe makini.........Kona...

Goal kick....
 
CIV wamezinduka sasa......

Zambia wanafanya mchezo wa kulnda matokeo yake wanaruhusu mashambulizi.....Nadhani wanataka kwenda kwenye penalties

Drogbaaaa..................Kennedy Mweene anadaka
 
Zambia wamezinduka sasa....

Kalabaaaaaaaaaaaa............................Goal kick
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…