Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,680
Hadi hapo umewaza nini ndugu yangu??
babu usiogope!ni kwamba mpaka dk hii ivory coast hawajafungwa goli lolote toka mashindano yaanze!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi hapo umewaza nini ndugu yangu??
jana barca wamechapwa na osasunala liga live updates.1-1 real madrid against 10 men levante!dk ya 50
babu usiogope!ni kwamba mpaka dk hii ivory coast hawajafungwa goli lolote toka mashindano yaanze!
Habari njema hiyo........Barca hawana chao mwaka huu....CR7 anaipatia real goli la 3 huku yote akiyafunga..
RMA wameshapiga goli la 2!!
Ehehehehehehe ....Tunaweza, lakini tuwekeze kwanza kwenye Twiga Stars.Zambia ni wazuri sana wakuu.......HivI Tanzania tunashindwa nini?