2012 African Cup of Nations.

2012 African Cup of Nations.

Kama Zambia imeweza, na uwa tunacheza nao Afrika mashariki na kati, hata Tanzania inaweza!
 
Kocha wa zambia kavaa shati lake jeupe ambalo anasema ni la bahati
 
Hakika Mungu ni mkubwa........

Hii ni dedication kwa
Waliokufa kwa ajali ya ndege mwaka 1993 hapo hapo Gabon....

Sure mkuu, ni kama wanasema kuwa .."kaka zetu...we have done this 4 you"
 
Mkiwa na viongozi wasiotenda madhambi, mambo mengi yanaenda vizuri karibu kila idara!! they made it because they have everything now!! Congrts Zambia!!
 
sorry wenger..

...ha ha ha, haya sasa....wenger kaingiaje humu?...
anyway, jana nilimsoma akiombea civ ifanye vizuri gervinho
arudi well motivated....jumatano tunamhitaji milan!
 
Mtangazaji wa Supersport, Thomas anamtania analyst wa CIV, Momodou kwamba imebidi aongezewe Oxygen!!

Haya mambo ya mpira wakati mwingine ni pasua kichwa!!
 
zambia wameshinda kwa mikwaju ya penalty na sasa wanashangilia kwa nguvu zote kama mabingwa wapya wa Afrika usiku huu.nyota wa mchezo akiwa golikipa wa zambia mweene.
Hongera chipolopolo
peoples poweerrrrrrrrr....
 
Hakika Mungu ni mkubwa........

Hii ni dedication kwa
Waliokufa kwa ajali ya ndege mwaka 1993 hapo hapo Gabon....
Labda wako mbinguni na wao wameona!
 
Drogba amedhihirisha ujinga wake,ni mtaalamu wa kupga penat akiwa Chelsea,lakini leo katika timu yake ya taifa kakosa penat ya muhimu kama hii ya kuipatia ubingwa nchi yake. Hongera kwa Zambia!
 
Back
Top Bottom