Zambia have proved wamba Kufanya vizuri kwenye michez sio lazim uwe based Ulaya. Hiyo ni challnge kwa TFA ,Wizara ya michezo na wanamichezo wenyewe. Wanamichezo wa Tanzania waache bangi zisizo na kipimo. lol
AFCON mwakani tena South Africa
hongera zambia hongera kipa mwene wewe ni shujaa wa lusaka,ila style ya kuleta kombe kichawi sikuipenda,africa bana!
The zambian under Michael Sata aka King Cobra! Even we as Tanzanians if we will choose/SELECT another part such as CHADEMA we will win AFCON We as TANZANIANS. TUTASHINDA AFCON ENDAPO TUKIITOA CCM MADARAKANI NA KUWAPA WAPINZANI KWA SABABU CCM NI WAOVU MNO!
ANGALIA ZAMBIA BAADA YA MICHAEL SATA KUINGIA MADARAKANI, MUNGU AMEWAONESHA WANAZAMBIA KWAMBA HUU NI MUDA WAO KUFURAHIA KWANI WALIMCHAGUA MTU AMBAYE NI MWEMA YAANI MICHAEL SATA AKA KING COBRA.
MUNGU IBARIKI ZAMBIA, MUNGU IBARIKI TANZANIA!
Zambia sio bingwa.Ivory coast atashinda labda zambia itokee bahati ya kipekee cuz footbal is bloody hell...but so far ukiangalia jinsi Zambia wanavyocheza hata fainali waliingia kwa bahati.Tuacha ushabiki pembeni,napenda majirani zangu washinde but i don't see this happening tonight!...Anyway good luck Zambia!
With technloogy u can be anywhere anytime . Sina uhaika lakini naweza nikawepo huko. Tuendelee kuwasiliana.
sawa kabisa maana mitz ndivyo tunavyoamini hivyo..