2012 African Cup of Nations.

2012 African Cup of Nations.

Kuna mtangazaji wa Eurosport anadai eti Ayew hakustahili kujiangusha baada ya kupewa mguu wa kifua. Yaani mtangazaji nadhani ni mwarabu maana anawaponda sana Ghana. Bora niangalie sbila sauti maana huyu mtangazaji anaboa sana
 
Its ghana again . Ghan 2: 1 Tun. Ghana haooo nusu fainali kupambana na Zambia.
 
Its ghana again . Ghan 2: 1 Tun. Ghana haooo nusu fainali kupambana na Zambia.
Ghana vs. Zambia sio mechi ya kukosa, leo nimeona Ghana wanakitukingine cha ziada, wanaweza kuwa'frustrate' wachezaji wa timu hasa A. Ayew, ndicho kilichowawezesha kushinda mechi hii. Lakini bado turufu yangu ni kwa Chipolopolo
 
kuna uwezekano mkubwa fainali ya mwaka 1992 dakar kujirudia tena huko libreville j2
 
Ni ghana Vs zambia Nawaletea matangazo live cast moja wa moja kutoka JF lol
 
Kwa wale wenye net yenye dowload nzuri unaweza uehcki mechi moja kwa moja kupitia mtandao hapa kwenye gym ya mtazmaji na vile vile altenatively unaweza kucheki mechi kupitia eurosport kwenye tovuti hii ya mypremium.tv/ chagua British Eurosport.
 
Dk ya 11.
so far man of the match ni golkeeper wa zambia akaokoa shambulizi lingine la ghana
 
Teams zinawakilishwa uwanjani na
Ghana: Kwarasey; Inkoom, Lee Addy, John Mensah, Boye; Annan, Boateng; Dede Ayew , Asamoah, Jordan Ayew; Gyan

Zambia: Mweene; Kasonde, Sunzu, Himoonde, Musonda; Nkausu, Sinkala; Chansa, Kalaba; Katongo, Chamanga
 
dk 14
John Boye wa ghana anapata kadi ya njano kwa ukabaji usio sahihi(late challenge). Lakini mpaka muda huu ghana ndio wanaonekana kutawala mchezo
 
Tuwasikilize wadhamini wa studio wakati nalainisha koo Ndovu larger bia imara kama za Bingwa
 
Aksante sana studio JF dk ya 25 bado bao ni bila bila timu zote ziko makini japo gahan walipata penati soft.

Naona zambia wanafanya shambulizi la kushtukiza na cross inaokolewa na kuwa kona.........
 
Naona ghana wanacheza high defensive line na wakikosea tu zambia wanaweza kupata fursa. So far wanafakiwa katika hiyo defense line kwa offiside trick . Lakinini risk...... Dk ya 28
 
Back
Top Bottom