2012 African Cup of Nations.

2012 African Cup of Nations.

Dk ya 30 na 31 kila timu inakosa goli. lakini zambia ndio walitengenza nafasi nzuri zaidi . Bao ni bila bila . Nimemkumbuka mtangazaji wa enzi zile anaitwa domick chilambo (RIP) na wana tupwisa lindanda pamba
 
Mashindano haya yanafnyika kwenye nchi amabzo kijiografia ziko ukanda wa Rain forest. Uwanja unaonekana kuteleza. Nadahni kuna mvua kubwa ilinyesha.

Dk ya 41

Ghana wanafanya sahmbulzi lakini cross ya gyan inashia kwa defender wa zambia bao ni bila bila
 
Dk 45
Ni mapumziko timu ziinakwenda kupata mawadha ya walimu zikiwa zimetoshana nguvu . wasikiliz e wazamni n tukasome habari pressure ya migomo ya madkari na posho za waaunge kwenye majukwaa mengine. Tutarudi kuleta matangzo baada ya dk 15
 
2 hd half imeshaaanza naona zambia wamefanya mabadiliko mapema. Kaingia Emmanuel Mayuka
 
Ohhh dk 52
ghana wanakosa goli kutokan na indirect kick iliyochongwa kutoka upande wa kushoto. Beki wao kashindwa kusukuma mpira kwa kichwa kufunga goli na mpira umepaa juu .........
 
dk ya 56
zambia wanawanyesha ghana kuwa na wao waweza tuoch za hapa na pale na wafnaanya shambuliz moja la ushtukiza na cross inaokolewa na kuwa kona
 
Dk ya 60
Bila bila. Nona sasa faulo za hapa na pale zinazidi . Ni dalili za kuchoka. ghana wanapiga free kick lakini haina madhara
 
dk ya 63
Milfdiler wa zambia chisamba anaongea na kocha wake nje naona zambia wanataka kufanya mabadiliko. Anatoka kasonde
 
dk 68
ghana wanafanya shambulizi kutokana na cross amabyo kipa anashindwa uipangua lakini kichwa kilichopigwa n gyan kinakwenda nje.
 
Mensah wa Ghana natoka nje! Anaonekana kaumia, nafas yake inachukuliwa na Varsah
 
Dk 74
Asamoah Gyan anatolewa upande wa ghana badala yake anaingia nani simuoni vizuri
 
Back
Top Bottom