2012 African Cup of Nations.

2012 African Cup of Nations.

Zambia wnakosa goli.......Mpira unagonga mwamba.....Kona

CIV wanaokoa
 
Ehehehehehhe hiyo kali. kipa anatoa pasi, harafu beki wake anamrudishia tena!
 
Dakika ya 105 sasa

Zambia wanapiga freekick........CIV wanaokoa

Dakika 15 za kwanza zimeisha....

Wanabadilisha magoli sasa
 
Back
Top Bottom