Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,626
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado dakika 1 sasa
Penati haziaminiki mkuu.............Ni bahati nasibuwakienda penati cote nje amini nakuambia..
Nipo huku kwenye kozi ya kuwa mtangazji wa mtukio live kwa maandishi. Kesho Nitakuwa dodoma bungeni live..... lolmkuu kumbe upo na huku!
ndivyo tunavyowaombea jirani zetu lkn sidhani kama itakuwa rahisi hivyo kwani kina drogba wamepania kweli kweli
Hata wakishindwa penati........Kwangu mimi Zambia bado nitawaona mabingwa.......Hakuna aliywadhania kwamba watang'ara na kuwasumbua CIV hivikama unaroho ndogo angalia zako tu gemu ya madrid..
hii redio ya jf burudani mno...lol
watangazaji tele....