2012 mwaka mbaya kwa bongo movie

2012 mwaka mbaya kwa bongo movie

nonino

Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
32
Reaction score
12
Kajala yuko jela
Kanumba marehemu
Lulu jela
Sajuki anaumwa
Aunt ezekiel kaibiwa
Uwoya ndoa hana

Na wengineo wenye matatizo wataje, Mungu awasaidie.
 
na wengineo wenye matatizo wataje,Mungu awasaidie[/QUOTE]

na walio pigika kim kwanja?
 
Chocolate princess nae kauza mbunye italy(na wanaume 6 kwa usiku mmoja), wema kaachwa, sinta karudiana na nature! ni nuksi kwao kwa kweli.
 
cacico Hiyo ya Nature kurudiana na Sinta mbona imekaa kiudaku...leta source.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom