Nilisema dogo lazima awe MVP......
Kevin Durant scored 36 points to lead the West to a 152-149
KING gani huyo arifu? Lebron???? hakuna kiazi kama yule.....kaikosesha east ushindi mwishoni alikuwa na uwezo wa kupiga 3 yeye akambwela mbwela..ile game walikuwa wanashinda....Alibebwa na ushindi wa timu. La sivyo the King angeweza pia kuwa MVP.
Kwani KD alicheza vizuri quarters za kwanza na pili,huku LJ akitamba quarters mbili za mwisho.
Dwayne na Howard waliiangusha East kwani walikua nje ya mchezo sana. Huku DW akipoteza nafasi za wazi kabisa kuongoza na kutie mchezo!
Anyway,kama kawaida yao West walijisahau kwamba ule ulikua ni mchezo wa kushow off skills na kuentertain,hivyo wakacheza basic ball. East show off daima ndiyo uwafanya wafungwe sana katika all-star games.
KING gani huyo arifu? Lebron???? hakuna kiazi kama yule.....kaikosesha east ushindi mwishoni alikuwa na uwezo wa kupiga 3 yeye akambwela mbwela..ile game walikuwa wanashinda....
KING gani huyo arifu? Lebron???? hakuna kiazi kama yule.....kaikosesha east ushindi mwishoni alikuwa na uwezo wa kupiga 3 yeye akambwela mbwela..ile game walikuwa wanashinda....
jicho langu kwa west tu,kweli odom kaingizwa mkenge na mkewe
Alibebwa na ushindi wa timu. La sivyo the King angeweza pia kuwa MVP.
Kwani KD alicheza vizuri quarters za kwanza na pili,huku LJ akitamba quarters mbili za mwisho.
Dwayne na Howard waliiangusha East kwani walikua nje ya mchezo sana. Huku DW akipoteza nafasi za wazi kabisa kuongoza na kutie mchezo!
Anyway,kama kawaida yao West walijisahau kwamba ule ulikua ni mchezo wa kushow off skills na kuentertain,hivyo wakacheza basic ball. East show off daima ndiyo uwafanya wafungwe sana katika all-star games.
KD anastahili kuwa MVP na huenda akaja akaanza kubeba ring kabla ya LJ ,Thunder wanakuja vizuri sana hasa Ibaka,KD na Westbrook
kwa maoni yangu dunk contents ya mwaka huu hamna jipya...zaidi ya huyu dogo ka dunk giza 360 windmil
OKlahoma wanaweza kuchukua ring na sio Miami......bilivu mi KD atavaa ring kabla ya Lebron......Mkuu ring kitu kingine. Inahitaji consistency ya msimu mzima. LJ ameweza kuwa consistent toka ameingia NBA. Iwe katika msimu,hadi katika playoffs.
KD ni mzuri sana pia,lakini kwa sasa hawezi kum-out shine LJ. Asubiri mpaka muda wa LJ utakapoisha.
Naishi kimarekani,nafanya shopping supermarket,nakula vyakula vya makopo,navaa kimarekani ila sio mlegezo hata mashoree wangu sio washamba washamba nachukua mashoree wenye haiba ya kimamtoni arifu......kwa kifupi my heart ipo majuu.....vipi ile show yako ya Kadarshian imefikia wapi?We kimjamaa unafuatilia sana mambo ya US....pole sana!
Vumbi vipi leo? Au mvua imesaidia?
Naishi kimarekani,nafanya shopping supermarket,nakula vyakula vya makopo,navaa kimarekani ila sio mlegezo hata mashoree wangu sio washamba washamba nachukua mashoree wenye haiba ya kimamtoni arifu......kwa kifupi my heart ipo majuu.....vipi ile show yako ya Kadarshian imefikia wapi?
OKlahoma wanaweza kuchukua ring na sio Miami......bilivu mi KD atavaa ring kabla ya Lebron......