Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,345
- 10,885
![]()
Nilisema dogo lazima awe MVP......
![]()
![]()
Kevin Durant scored 36 points to lead the West to a 152-149
Alibebwa na ushindi wa timu. La sivyo the King angeweza pia kuwa MVP.
Kwani KD alicheza vizuri quarters za kwanza na pili,huku LJ akitamba quarters mbili za mwisho.
Dwayne na Howard waliiangusha East kwani walikua nje ya mchezo sana. Huku DW akipoteza nafasi za wazi kabisa kuongoza na kutie mchezo!
Anyway,kama kawaida yao West walijisahau kwamba ule ulikua ni mchezo wa kushow off skills na kuentertain,hivyo wakacheza basic ball. East show off daima ndiyo uwafanya wafungwe sana katika all-star games.