2012 Nissan Xtrail Vs 2010 Subaru Forester

2012 Nissan Xtrail Vs 2010 Subaru Forester

Consumption is not the same. Na pia turbo ni ngumu kumaintain especially kwa watu ambao si wazoefu sana wa magari au hawazingatii service. So wanaochukua non turbo nao si wajinga
Siku hiz ndugu yangu kuitunza turbo sio Kaz. Kwenye turbo Kuna pipe anayopeleka oil kwenye hiyo turbo sasa ndan ya hiyo pipe Kuna filter ndogo saaana ambapo kutokana na oil zetu za kibongo hiyo filter huwa unakaa uchafu na kuziba na matokeo yake n turbo kutopata oil then inakufa!! Ndio maana watu wanadai ikishakufa turbo ya kwanza hakuna turbo ya kudumu!! Shida Iko hapo!! Suluhu ya hilo n kutoa hiyo filter then dunda uwezavo zitangatia service tumia oil sahihi
 
Subaru sijui Ina maajabu gani?
Kwa nini unaulizia maajabu? Au niseme inategemea unalingajisha na gari gani. Kama ni dhidi ya xtrail, basi gearbox, AWD system yake, ni reliable zaidi. Kama unatafuta maajabu kwa ujumla kwenye huu uzi basi hauko sehemu sahihi.
 
Back
Top Bottom