Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Yupo Darisalama, twende tukamuone juma hili
What irony, mwenzako kashakuambia he enjoyed reading it!
Hahaha, kwa hiyo kumbe ka-enjoy kwa sababu Mao ni pervert! :shut-mouth:
I enjoyed the book. The guy was a pervert.
Gaijin,Non-fiction
1. Yamamoto-The Man who Planned the Attack on Pearl Harbor
5. MAO-The Unknown Story
Fiction
2. The Devotion of Suspect X by Keigo Hihashino
3. Ring by Koji Suzuki
4. Spiral ('Ring' series, book 2) by Koji Suzuki
Labda safari ijayo. Sasa hivi nipo kwangu.
Bado anafundisha UDSM?
Hapana, hali yake si nzuri sana
4. Malcolm X: A Life of Reinvention by Manning Marable
Health-wise au?
Una maoni gani kuhusu hicho kitabu maana naona wanugu wanaomhusudu Malik El Shabbaz wamemmaindi sana Marable!
ngozi nyeupe iliyokulia Africa haifikiri kama ya kokote majuukumbe fikra zina rangi?
"the color of reason" - emmanuel eze
Naona jamaa kaandika critically zaidi kuliko the Haley book, which was rather thinly disguised hagiography.
Kuna watu ukitaka ku discuss some aspects which Marable put to light mtapigana kwa sababu Malcolm kashakuwa calcified kama figure fulani hivi.
Kuna mnugu anaitwa Abdul Alkalmat kamchambua Manning Marable kuonesha udhaifu wa utafiti wake!
nikajua shemeji katoka ukoo wa Takezo,u'radical wako hapa JF si habaSio Mjapani, ni royal-family, Pope Akihito :A S embarassed:
Kuna siku moja nilicheka Gaijin alipomtaja Marable.....
Na siyo Abdul Alkalmat tu ndiye aliyemchana Marable...
Niliona ile ligi yako na Gaijin, naona unataka kulianzisha tena!