Hommie! Hahaha, sasa fyatanga inakuwaje? Au mkoloni tena leo?
Si nlikwambiaga huyu dogo ni bazazi mwana izaya tena mwana mtoka pabaya ukawa unanibishia? Ona sasa, ukizaa naye mwanao atakuitaje?
pokea salamu zangu za mimi kukumiss wewe...msalimie Bujibuji, najua mtakua kwenye maandalizi ya mkesha.
ukaguz haukagui umri
ha haaaaaaaa, umenichekesha sana mkwe......Nibanane na nani kwa wakongwe? Nabanana nao kwa vijukuu siyo kwa mama zao wajukuu. Mkwe huogopi kupakwa shombo la lactogen?