Car4Sale 2013 BMW X1 iliyokuja na Tronic gear iko sokoni

Car4Sale 2013 BMW X1 iliyokuja na Tronic gear iko sokoni

darautobroker

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2020
Posts
685
Reaction score
600
Bei/Price TSH 15.9M
Call +255 747 999 927

BMW X1

Year: 2013
Engine: 1990Cc
L O W MILEAGE

Transmission: AUTO

Fog Lights
Tronic Gear
Alloy Wheels

Clean Interior
In Good Condition
Exchange Possible

IMG-20250830-WA0089.jpg
IMG-20250830-WA0084.jpg
IMG-20250830-WA0088.jpg
 

Attachments

  • IMG-20250830-WA0090.jpg
    IMG-20250830-WA0090.jpg
    334.6 KB · Views: 37
  • IMG-20250830-WA0086.jpg
    IMG-20250830-WA0086.jpg
    349.7 KB · Views: 33
  • IMG-20250830-WA0082.jpg
    IMG-20250830-WA0082.jpg
    241.7 KB · Views: 32
WE MGENI HUJUI MAGARI DALALI MSHAMBA. GARI YA MIL 7 MPAKA 9 UNATAKA UZA KWA MIL 14? UNAJIELEWA KWELI?
Punguza Mihemko Ndugu CHIZI, Twende Kwa Fact Na Sio Kulipuka.

Wapi Unaweza Ukapata BMW X1 Ya Mwaka Wa Mbele 2013 Kwa Bei Ya Milioni 7 Mpaka 9?

Kama Ni Zile Za Ujanja Ujanja Za Kuzungusha Za I.T Hapo Na Lakini Kama Hizi Zilizolipiwa Kodi Kamwe Huwezi Kupata
 
Hiyo ndinga ghali sana 15m ikishatumika bongo
Iyo Ya Mwaka Wa Mbele Ndio Bei Yake Iko Ivyo, Hata Zikiwa Showroom Za Mwaka 2013 Zenye Tronic Gear Ni Chache Sana Na Bei Zake Zimechangamka Boss
 
Punguza Mihemko Ndugu CHIZI, Twende Kwa Fact Na Sio Kulipuka.

Wapi Unaweza Ukapata BMW X1 Ya Mwaka Wa Mbele 2013 Kwa Bei Ya Milioni 7 Mpaka 9?

Kama Ni Zile Za Ujanja Ujanja Za Kuzungusha Za I.T Hapo Na Lakini Kama Hizi Zilizolipiwa Kodi Kamwe Huwezi Kupata

Wewe mgeni wa magari na udalali. Mwaka 2013 siyo mbele ni nyuma. Shemeji yako akijua unamkazia asiuze hiyo gari mtagombana. Maana akisikia hiyo bei kwa BMW atajua unafanya makusudi isiuzike
 
Back
Top Bottom