darautobroker
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 685
- 600
😹😹😹Yaani Tronic Gear ndo iipandishe X1 mpaka M16?
Shida madaraka makubwa, asubiri kina Abdul wata kuja kuchukuaE84 hiyo, engine N46 i4 kama ya kwenye 3 series 320i
Gari lazima litoke Japan. Wakina Abdul yao yanatoka Ulaya.Shida madaraka makubwa, asubiri kina Abdul wata kuja kuchukua
Ko mme wakataa wa Singapore?Gari lazima litoke Japan. Wakina Abdul yao yanatoka Ulaya.
Bei/Price🏷️👉🏽TSH 15.9M
Call📞+255 747 999 927
BMW X1
Year: 2013
Engine: 1990Cc
L O W MILEAGE
Transmission: AUTO
✨Fog Lights
✨Tronic Gear
✨Alloy Wheels
✅Clean Interior
✅In Good Condition
✅Exchange Possible
View attachment 3460508View attachment 3460509View attachment 3460511
Punguza Mihemko Ndugu CHIZI, Twende Kwa Fact Na Sio Kulipuka.WE MGENI HUJUI MAGARI DALALI MSHAMBA. GARI YA MIL 7 MPAKA 9 UNATAKA UZA KWA MIL 14? UNAJIELEWA KWELI?
Iyo Ya Mwaka Wa Mbele Ndio Bei Yake Iko Ivyo, Hata Zikiwa Showroom Za Mwaka 2013 Zenye Tronic Gear Ni Chache Sana Na Bei Zake Zimechangamka BossHiyo ndinga ghali sana 15m ikishatumika bongo
Fanya Utafiti Hata Kwa Madalali Wengine Wa Magari, Hizo Zenye Tronic Gear Bei Yake Imechangamka Na Ni ADIMU SanaYaani Tronic Gear ndo iipandishe X1 mpaka M16?
Hauko serious na biashara wewe
Punguza Mihemko Ndugu CHIZI, Twende Kwa Fact Na Sio Kulipuka.
Wapi Unaweza Ukapata BMW X1 Ya Mwaka Wa Mbele 2013 Kwa Bei Ya Milioni 7 Mpaka 9?
Kama Ni Zile Za Ujanja Ujanja Za Kuzungusha Za I.T Hapo Na Lakini Kama Hizi Zilizolipiwa Kodi Kamwe Huwezi Kupata
Kilometers ngapi?L O W MILEAGE
Labda ungeanza kuichanganua Tronic Gear ni Nini, faida zake ni zipi, labda wadau wataona haja hata ya kulipia ml. 50 badala ya 16mIyo Ya Mwaka Wa Mbele Ndio Bei Yake Iko Ivyo, Hata Zikiwa Showroom Za Mwaka 2013 Zenye Tronic Gear Ni Chache Sana Na Bei Zake Zimechangamka Boss
Somo Linakuja Wakae Mkao Wa KulaLabda ungeanza kuichanganua Tronic Gear ni Nini, faida zake ni zipi, labda wadau wataona haja hata ya kulipia ml. 50 badala ya 16m
Iyo Inasoma 87,000+km Za Kwake ZenyeweKilometers ngapi?