2013 chai day

Mkuu Malila, umesema meeting ni tar 9 feb ila hujataja mda kaka.

Samahani, unajua huku jukwaani naleta kwa ajili ya wadau wapya zaidi, vitu viko kwenye net work ya wenyewe kilimotz@googlegroups.com Muda ni saa nane sharp, mchango wa mwezeshaji na ukumbi ni Tsh 21,000/. Hii itatumika kulipia ukumbi, posho ya mtalaamu toka SUA na chai tutakayokunywa pale ukumbini.Hizi zitumwe week mbili kabla,ukiwa tayari niambie nikupe namba ya kutuma.
 

Asante mkuu, inanifaa sana hii! Ni PM namba zako kwa mawasiliano zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…