- Thread starter
- #21
Mkuu Malila, umesema meeting ni tar 9 feb ila hujataja mda kaka.
Samahani, unajua huku jukwaani naleta kwa ajili ya wadau wapya zaidi, vitu viko kwenye net work ya wenyewe kilimotz@googlegroups.com Muda ni saa nane sharp, mchango wa mwezeshaji na ukumbi ni Tsh 21,000/. Hii itatumika kulipia ukumbi, posho ya mtalaamu toka SUA na chai tutakayokunywa pale ukumbini.Hizi zitumwe week mbili kabla,ukiwa tayari niambie nikupe namba ya kutuma.