Car4Sale 2013 Mazda CX-5 on sale!

Car4Sale 2013 Mazda CX-5 on sale!

Heri ya mwaka mpya kwa ambao hatujaona toka mwaka jana.

Niko na hii gari hapa inaitwa Mazda CX-5 ni crossover SUV. Ina Engine ni 2.2 Turbo diesel yenye 175HP ina nguvu na mwendo wa kutosha kupitia skyactiv technology. Iko imported tayari with all duties paid.

Hii gari naiachia kwa bei ya 32 Million ntakupa na file wewe ukafanye usajili tu. Ukilipa 33Millions basi usajili ntakufanyia mwenyewe kabisa. Karibuni kwa mawasiliano zaidi waweza nicheki kupitia 0773411415.View attachment 2863990View attachment 2863991View attachment 2863992View attachment 2863994View attachment 2863999View attachment 2864001View attachment 2864004View attachment 2864010View attachment 2864011
Fanya 30 M cash nichukue maana nikiahiza mwenye plus registration ni milion 28 tu jumla
 
Back
Top Bottom