Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Lol...mpaka sasa nimetoka kapa na maneno ambayo yameshatajwa! Wewe mwenzangu vipi?
Huwa napenda kuangalia hii ila leo naangalia game 5 ya Eastern Conference finals Indiana VS Miami.
Weka split screen kama mimi lol.